Oda Kupitia WhatsApp
Wateja wanaweza kununua na kutuma oda moja kwa moja kwenye namba yako ya WhatsApp.
Anza kuuza mtandaoni ndani ya dakika 5. Pata link yako mwenyewe (dukalako.myduka.co.tz), pokea oda kupitia WhatsApp, na kuza mauzo bila gharama za awali.
Dakika 5 Tu
Bila kadi ya benki · Bila ada za kuanzia
Wateja wanachagua bidhaa, wanabonyeza "Oda kwa WhatsApp", na ujumbe unakuja moja kwa moja kwako. Pokea malipo kupitia LIPA Namba, M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money, vyote ndani ya duka moja.
Oda 24/7
WhatsApp · M-Pesa · Tigo Pesa · Airtel Money · LIPA Namba
Jiunge na maelfu ya wafanyabiashara Tanzania wanaouza zaidi kwa myDuka. Ripoti za kila siku, ufuatiliaji wa stoki, alama za bei na msaada wa moja kwa moja, vyote bila gharama ya kuanzia
200 Wajasiriamali
Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya, Dodoma
Pakua programu ya myDuka Vendor kuongeza bidhaa, kufuatilia stoo, kupokea oda, na kusimamia duka lako popote ulipo.
Pata ProgramuTumerahisisha teknolojia ili uweze kukuza biashara yako.
Wateja wanaweza kununua na kutuma oda moja kwa moja kwenye namba yako ya WhatsApp.
Jenga duka la kidijitali ndani ya muda mfupi na gharama nafuu kabisa bila usumbufu wa wataalamu.
Anza BURE arrow_forwardMwonekano wa kisasa na imeboreshwa kutumika kwenye simu. Ni hatua chache tu hadi duka lako liwe tayari. Anza kuuza mara moja.
Wateja hawa wanauza mtandaoni kupitia myDuka.
myDuka ni BURE, ila ukilipia unapata huduma zaidi kuliboresha duka lako mtandaoni. Badili kati ya malipo ya mwezi au mwaka.
Zana muhimu kwa duka moja la mtandaoni.
Vipengele vya ukuaji na viwango vya juu zaidi.
Ufikiaji kamili wa mfumo pamoja na chatbot ya MojaDesk.