RUSKIN PRODUCT
In stock

RUSKIN PRODUCT

RUSKIN PRODUCT unapata full set.. 🧼 RUSKIN SABUNI * Husafisha ngozi na kuondoa uchafu. * Husaidia kuacha ngozi ikiwa safi, laini na yenye mwonekano mzuri. * Inafaa kwa matumizi ya kila siku. * Unaweza kuitumia pamoja n...

TZS 50,000
Quantity

RUSKIN COSMETICS

π‹πˆπ†π‡π“π„ππˆππ† π˜πŽπ”π‘ π’πŠπˆπ - πŒπ€ππ”πŠπ€π“πŽ ππŽπ‘π€ πŠπ–π€ π€π…π˜π€ π˜π€ ππ†πŽπ™πˆ π˜π€πŠπŽ

About this shop

RUSKIN PRODUCT unapata full set..
🧼 RUSKIN SABUNI

* Husafisha ngozi na kuondoa uchafu.
* Husaidia kuacha ngozi ikiwa safi, laini na yenye mwonekano mzuri.
* Inafaa kwa matumizi ya kila siku.
* Unaweza kuitumia pamoja na RUSKIN Scrub na Lotion kwa routine kamili ya mwili.

β˜• RUSKIN SCRUB

* Husaidia kuondoa dead skin cells na uchafu uliopo juu ya ngozi.
* Husaidia ngozi kuwa laini, smooth na yenye mwonekano fresh.
* Inasaidia kuandaa ngozi kabla ya kupaka lotion.
* Tumia mara 2–3 kwa wiki, kulingana na aina ya ngozi.

🧴 RUSKIN LOTION

* Husaidia kulainisha na kuipa ngozi unyevunyevu.
* Husaidia ngozi kuonekana smooth, fresh na yenye glow.
* Inafaa kwa matumizi ya kila siku.
* Kwa matokeo bora, tumia baada ya kuoga na kusafisha ngozi kwa RUSKIN Sabuni na Scrub.

✨ RUSKIN 3-STEP BODY ROUTINE

RUSKIN SABUNI β†’ RUSKIN SCRUB β†’ RUSKIN LOTION

🧼 Safisha
β˜• Exfoliate
🧴 Moisturize

RUSKIN β€” Skin care ya mwili wako, kila siku. ❀️
Visit shop arrow_forward

Customer reviews

Sign in with the account you used to buy this product to leave a review.

No reviews yet for this product.

Related products

Please confirm