Kwa wamiliki wa maduka
myDuka Vendor
Simamia bidhaa, stoo, oda, malipo, na ujumbe wa wateja kutoka simu yako.
- Ongeza na hariri bidhaa pamoja na picha
- Fuatilia oda na sasisha hali
- Simamia kategoria, matawi, na maeneo ya usafirishaji
- Pokea arifa za oda mpya
- Pata taarifa malipo ya mtandaoni yakikamilika
- Chati ya moja kwa moja na msaada wa myDuka
- Kikasha cha ujumbe kutoka kwa wateja