RUSKIN PRODUCT
RUSKIN PRODUCT unapata full set.. π§Ό RUSKIN SABUNI * Husafisha ngozi na kuondoa uchafu. * Husaidia kuacha ngozi ikiwa safi, laini na yenye mwonekano mzuri. * Inafaa kwa matumizi ya kila siku. * Unaweza kuitumia pamoja n...
RUSKIN COSMETICS
ππππππππππ ππππ ππππ - ππππππππ ππππ πππ ππ ππ ππ πππππ ππππ
Kuhusu duka hili
π§Ό RUSKIN SABUNI
* Husafisha ngozi na kuondoa uchafu.
* Husaidia kuacha ngozi ikiwa safi, laini na yenye mwonekano mzuri.
* Inafaa kwa matumizi ya kila siku.
* Unaweza kuitumia pamoja na RUSKIN Scrub na Lotion kwa routine kamili ya mwili.
β RUSKIN SCRUB
* Husaidia kuondoa dead skin cells na uchafu uliopo juu ya ngozi.
* Husaidia ngozi kuwa laini, smooth na yenye mwonekano fresh.
* Inasaidia kuandaa ngozi kabla ya kupaka lotion.
* Tumia mara 2β3 kwa wiki, kulingana na aina ya ngozi.
π§΄ RUSKIN LOTION
* Husaidia kulainisha na kuipa ngozi unyevunyevu.
* Husaidia ngozi kuonekana smooth, fresh na yenye glow.
* Inafaa kwa matumizi ya kila siku.
* Kwa matokeo bora, tumia baada ya kuoga na kusafisha ngozi kwa RUSKIN Sabuni na Scrub.
β¨ RUSKIN 3-STEP BODY ROUTINE
RUSKIN SABUNI β RUSKIN SCRUB β RUSKIN LOTION
π§Ό Safisha
β Exfoliate
π§΄ Moisturize
RUSKIN β Skin care ya mwili wako, kila siku. β€οΈ
Maoni ya wateja
Ingia kwa akaunti uliyotumia kununua bidhaa hii ili uache maoni.
Bado hakuna maoni ya bidhaa hii.
Bidhaa zinazohusiana
Kutoka RUSKIN COSMETICS
RUSKIN LOTION
TZS 15,000
Kutoka SF Beauty Store
Hereni kubwa
TZS 10,000
Kutoka Kakarite Enterprises
Chuichui Mchele soft soap
TZS 5,000
Kutoka SF Beauty Store
Brooch
TZS 10,000
Kutoka Balqis Natural Products
Balqis Soap
TZS 5,000
Kutoka RUSKIN COSMETICS
RUSKIN LOTION
TZS 20,000
Kutoka Lizie Beauty and Wellness
Optifresh Pro White
TZS 25,000
Kutoka Lizie Beauty and Wellness
Optifresh Sensitive
TZS 25,000